Wajumbe
wa kamati maalumu ya kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara
wa Malawi wanayotumia bandari ya Dar es Salaam wakikagua miundombinu
katika bandari kavu ya Malawi iliyopo Jijini Mbeya, ili kuhamasisha
matumizi zaidi ya bandari hiyo kupunguza siku za kusafirisha mizigo
kwenda Malawi. (Picha na Iddy Mwema)
No comments:
Post a Comment