Spika
wa Bunge, Mhe. Job Job Ndugai akiongoza Mkutano wa Kumi na Tano kikao
cha Arobaini na Tano leo tarehe 13 Juni, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.
Katika Mkutano huo Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Phillip Mipango
alitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na Mpango wa
Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
aziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Phillip Mipango akitoa taarifa ya hali ya
uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka
wa fedha 2019/2020 leo tarehe 13 Juni, 2019 katika Mkutano wa Kumi na
Tano kikao cha Arobaini na Tano Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (aliekaa) akizungumza na Mbunge wa
Mlalo, Mhe. Rashid Shangazi leo tarehe 13 Juni, 2019 katika Mkutano wa
Kumi na Tano kikao cha Arobaini na Tano Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Cpt. Mstaafu George Mkuchika (kulia) akizungumza na Mbunge wa
Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi leo tarehe 13 Juni, 2019 katika
Mkutano wa Kumi na Tano kikao cha Arobaini na Tano Bungeni Jijini
Dodoma.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Ikuwo kutoka Makete Mkoa wa Njombe (kulia),
Wanafunzi wa Shule ya Msingi St. Joseph kutoka Jijini Dar es Salaam
wakiwa katika Mkutano wa Kumi na Tano kikao cha Arobaini na Tano Bungeni
Jijini Dodoma.
Watendaji
Wakuu kutoka Wizara ya Fedha, Gavana wa Benki Kuu na Taasisi zilizo
chini ya Wizara ya fedha wakiwa katika jukwaa la Spika wakifuatilia
taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo
wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2019/2020 leo tarehe 13 Juni, 2019 katika
Mkutano wa Kumi na Tano kikao cha Arobaini na Tano Bungeni Jijini
Dodoma. Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Phillip Mipango
No comments:
Post a Comment