Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha
Bungeni Jijini Dodoma, Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018
na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa pili kulia
walioketi mbele) akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania-BOT,
Prof. Florens Luoga (kulia kwake) wakati Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) alipoiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma
Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo
wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akimpongeza
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) baada ya
kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa
kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiteta jambo
na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) mara
baada ya Wizara kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Taarifa ya Hali ya
Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka
2019/2020.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu
wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), (kushoto), akizungumza jambo
na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb),
Bungeni Jijini Dodoma wakati Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango (Mb) alipo wasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa
Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Prof. Adelardus Kilangi (kulia) na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye
ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), wakifuatilia kwa makini
uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na
Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020.
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kushoto alieipa mgongo kamera), akiwaongoza
baadhi ya Mawaziri na Wabunge kumpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)
baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka
2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020 bungeni jijini
Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati),
akipongezwa na baadhi ya Wabunge nje ya ukumbi wa Bunge baada ya
kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018 na Mpango
wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020 bungeni jijini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa tatu kulia),
akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania-BOT, Prof. Florens Luoga (wa pili kushoto) baada ya
kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa
Mwaka 2018 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2019/2020. (Picha
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)
No comments:
Post a Comment