Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 
akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu 
(International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019
 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba 
Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais 
amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John 
Pombe.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 
akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu Sabastian 
Kolowa  kanda ya Afrika Bishop Dkt. Stephen  Munga wakati wa Ufunguzi wa
 Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu 
(International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019
 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba 
Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais 
amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John 
Pombe.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 
akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa
 walipokutana kwenye Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi 
ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education 
(IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian 
Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi 
huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.
 Baadhi
 ya washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya 
Elimu (International Association of Special Education 
(IASE)wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka 
wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special 
Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya 
Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga. .  
Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 
akizungumza na Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa 
Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special 
Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya 
Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakati 
wa Ufunguzi wa Mkutano huo.  Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.
 
No comments:
Post a Comment