Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza
katika Gereza la Butimba mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akitoka katika Gereza Kuu la Butimba mara baada ya kuzungumza
na wafungwa Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika
Gereza la Butimba mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi fedha mmoja wa Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya
Umba kwa ajili ya kununulia ngombe watatu na magunia ya mchele 15 ili
Wafungwa, Mahubusu na Askari hao wapike na kula pamoja.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na
Mkuyuni wakati akitokea Gereza la Butimba.
Baadhi
ya Wananchi waliokusanyika katika eneo la Butimba Kona na Mkuyuni
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment