Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Fredrick Clavier katika Ofisi
ndogo ya Wizara iliyopo Jijini Dar es Salaam
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia)
akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Fredrick Clavier
(katikati) Pamoja na Meneja wa Mauzo wa kampuni ya Air bus Helicopter
Laurent Bouvillon kushoto katika Ofisi ndogo ya Wizara iliyopo Jijini
Dar es Salaam.
Balozi
wa Ufaransa nchini Tanzania, Fredrick Clavier akimsikiliza Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni katika Ofisi
ndogo ya Wizara iliyopo Jijini Dar es Salaam (Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment