Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na
Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.
Jaji
Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hotuba na kumkaribisha
mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya
Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika
Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar
Mbweni Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi katika hafla
ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika
Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni
Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment