Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais
wakiwa na Naibu Katibu Mkuu Balozi Joseph Sokoine (kulia) wakiwa katika kikao
na Benki ya Dunia (WB) pamoja na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID)
katika kikao kuhusu mradi wa TURP ambao ukitekelezwa utaleta manufaa makubwa
katika Jiji la Dar es Salaam na utaokoa maeneo yaliyo hatari kwa mafuriko na
kuyafanya salama kwa maendeleo ya Jiji, utapendezesha kwa kuweka maeneo mazuri
ya maegesho ya magari maeneo kwa ajili
ya shughuli za umma kama mikutano na matamasha na kubadilisha eneo la Mto
Msimbazi linalokumbwa na mafuriko kuwa eneo linalofaa kwa ajili ya michezo na lenye manufaa ya kiikolojia kwa jiji la Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment