Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akipata maelezo
toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw Edwin Rutageruka alipotembelea
Kliniki ya Biashara inayoratibiwa na TanTrade wakati wa Ufunguzi wa
Maonesho ya Pili ya SIDO kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Bombadia
Mjini Singida. Kliniki hii inashirikisha Taasisi za Serikali ikiwemo
TRA, BRELA, TBS, FCC, MKEMIA MKUU, TFS, WMA, SIDO na imedhaminiwa na
NBC.Mkurugenzi Mkuu amemweleza Mhe.Waziri Mkuu kuwa TanTrade kwa
kushirikiana na Taasisi nyingine wanajipanga kupata ofisi ya kudumu kwa
ajili ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara |
No comments:
Post a Comment