Waziri
Mkuu Mstaafuu Mh Mizengo Pinda akizungumza wakati wa siku ya kumbukizi
ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyoadhimishwa
leo jijini Beijing katika Chuo Kikuu cha Peking na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimali wa Serikali,Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia,
wanazuoni na wanafunzi.
Balozi wa Tanzania nchini China,Mh Mbelwa Kairuki akizungumza jambo kwenye Siku
ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
iliyoadhimishwa leo jijini Beijing katika Chuo Kikuu cha Peking na
kuhudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na viongozi wa
Serikali,Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia, wanazuoni na wanafunzi.
Baadhi ya viongozi
wa Serikali,Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia, wanazuoni na
wanafunzi wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijiri leo kwenye siku
ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
iliyoadhimishwa jijini Beijing katika Chuo Kikuu cha Peking .
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungumza
jambo katika siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere iliyoadhimishwa leo jijini Beijing katika Chuo Kikuu
cha Peking na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na
viongozi wa Serikali,Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia, wanazuoni na
wanafunzi.
Baadhi ya Wawakilishi kutoka katika Chama
cha Kikomunisti cha China wakieleza namna walivyomfahamu Baba wa
Taifa,Hayati Mwalimu Julius Nyerere,yote hayo yamefanyika leo katika
siku ya kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere iliyoadhimishwa leo jijini Beijing katika Chuo Kikuu cha Peking
na kuhudhuriwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda na viongozi wa
Serikali,Chama cha Kikomunisti, wanadiplomasia, wanazuoni na wanafunzi.
Picha ya pamoja.Picha kwa hisani ya Mdau Phelista Wegessa-Beijing,China.
No comments:
Post a Comment