Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akifurahia na wananchi wa Lukuledi wilayani Masasi Mkoani Mtwara wakati 
akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini leo Oktoba 16, 2019
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia 
jambo na wanafunzi wa Shule ya Lukuledi Maalumu wenye ulemavu wa kusikia
 wakati aliposimama kusalimia wananchi wa Lukuledi wilayani Masasi 
Mkoani Mtwara wakati akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini leo Oktoba
 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiserbuka na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa baada ya
kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Rwuangwa mkoa wa Lindi wakati
akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini Oktoba 15 2019. Picha na IKULU







 
No comments:
Post a Comment