Matokeo chanyA+ online




Thursday, November 21, 2019

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA SHIRIKA LA MAZINGIRA LA UMOJA WA MATAIFA (UNEP)

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Joseph Malongo  pamoja na Watumishi wa Ofisi yake akiwa katika kikao na Ujumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Mazingira (UNEP) wakati walipomtembelea Ofisini kwake katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Lengo la kikao hiko ni kujadiliana mambo yahusuyo mzingira ikiwemo mradi wa kurejesha uoto wa asili katika maeneo yaliyoharibika.

Wajumbe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa  linaloshughulikia Mazingira (UNEP) Bi Victoria Panadero na Bi Kelly West wakichangia wakati walipokutana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Joseph Malongo walipomtembelea Ofisini kwake kujadili kuhusu Mradi wa Kurejesha uoto wa asili katika maeneo ya ardhi yaliyoharibika

No comments:

Post a Comment