Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la
mwanasiasa mkongwe na Mwenyekiti wa zamanı wa CCM wa wilaya ya Ruangwa,
Kaspar Selemani Mmuya katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu
katika kijiji cha Nangumbu kwenye kitongoji cha Mtakuja wilayani
Ruangwa, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment