Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni,
Jijini Dodoma kwa mazungumzo maalum.
Spika
wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza
nchini, Phaustine Kasike mara baada ya mazungumzo alipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Magereza
nchini, Phaustine Kasike alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni, Jijini
Dodoma
Kamishna
Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike
akisaini kitabu cha Wageni alipomtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(hayupo pichani), leo Ofisini
kwake Bungeni, Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali
wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (katikati) alipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni, Jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Magereza Mkoani Dodoma, Kamishna
Msaidizi wa Magereza, Keneth Mwambije(Picha zote na Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment