Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (Controller and Auditor General – CAG). Hafla iliyofanyika
Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi vitendea kazi Bw. Charles Edward Kichere mara baada ya kuwa
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor
General – CAG). Hafla iliyofanyika Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4,
2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Joachim Chrles Tiganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla
iliyofanyika Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Dkt. Deo John Nangela kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla
iliyofanyika Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bi. Angela Anthony Bahati kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika
Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Angaza Elias Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Hafla iliyofanyika
Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Kanali Francis Ronald Mbindi kuwa Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya
Waziri Mkuu. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini dar es salaam Novemba 4,
2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu Kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam. Novemba 4, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bi. Amina Talib Ali Kuwa Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam, Novemba 4,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhandisi Aisha Amour kuwa balozi wa Tanzania Nchni Kuwait.
Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam, Novemba 4, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe.
Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam, Novemba 4, 2019.
Viongozi walioapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wakila kiapo cha Maadili kwa viongozi wa umma Ikulu
jijini Dar es salaam, Novemba 4, 2019.
Viongozi
walioapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli wakiweka sahihi kwenye hati ya kiapo cha Maadili kwa viongozi
wa umma Ikulu jijini Dar es salaam, Novemba 4, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada kuwaapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam novemba 4, 2019. |

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada kuwaapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam novemba 4, 2019 |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada kuwaapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (Controller and Auditor General – CAG), Majaji 12 wa Mahakama
kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa
wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait pamoja na Viongozi wa Tume
ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam novemba 4, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt. Agustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba
Kabudi, Waziri wa Fedha Dkt. Isidori Mpango pamoja na Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and Auditor General –
CAG), Majaji 12 wa Mahakama kuu, Kamishna wa Kazi katika Ofisi ya Waziri
Mkuu, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Balozi wa Tanzania Nchni Kuwait
pamoja na Viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mara
baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam novemba 4, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (Controller and
Auditor General – CAG) mpya Bw. Charles Kichere, Watendaji wa Ofisi ya
CAG pamoja na Makamu mwenyeki wa Kamati ya Bunge ya PAC Aesh Hilaly
Ikulu jijini Dar es salaam novemba 4, 2019.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment