|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia mtoto
Zioni nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada ya
kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa
kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote.
Disemba 22, 2019.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika
pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko
wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Desemba, 2019
ameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Chato Mkoani
Geita kusali Dominika ya 4 ya Majilio na ametumia nafasi hiyo kuwatakia heri ya
Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika
pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko
wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika
pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko
wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
Katika salamu hizo,
Mhe. Rais Magufuli amesema tunapoelekea katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka
Mpya Wakristo na Waumini wa madhehebu mengine mbalimbali wanalo jukumu la kuendelea
kuombea amani, upendo na umoja kwa wanadamu wote bila kubaguana.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea
Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria
Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya
Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo
Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
|
“Niwaombe ndugu zangu wa
Chato na Watanzania kwa ujumla, tusherehekee sikukuu ya Krismasi kwa amani na
upendo mkubwa, lakini pia tuukaribishe Mwaka Mpya kwa amani na upendo mkubwa wa
Kristo, mwaka unaokuja uwe mwaka wa mafanikio, uwe mwaka wa maendeleo, uwe
mwaka wa kujenga umoja wetu kwa Watanzania wote, uwe mwaka wa amani na upendo
na uwe mwaka wa kuendeleza Taifa letu katika maendeleo ya kweli”
amesema Mhe. Rais Magufuli.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea
Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria
Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya
Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo
Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa la
Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio
iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais
amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya
Watanzania wote . Disemba 22, 2019.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Padre
Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita nje ya kanisa hilo mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya
nne ya Majilio, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
|
Aidha, Mhe. Rais
Magufuli amewapongeza Waumini wa Parokia ya Bikira Maria Chato kwa kazi kubwa
ya upanuzi wa Kanisa wanayoendelea nayo ambayo naye alichangia upanuzi wake
mwaka 2016.
Misa Takatifu hiyo
imeongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Henry Mulinganisa.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Padre Henry
Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita
alipozungumza na Waumini wa Kanisa wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne
ya Majilio iliyoongozwa na Paroko huyo, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote .
Disemba 22, 2019.
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa la
Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio
iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais
amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya
Watanzania wote . Disemba 22, 2019.
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na waumini wa Kanisa la
Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio
iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais
amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya
Watanzania wote . Disemba 22, 2019.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Padre
Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani
Geita nje ya kanisa hilo mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya
nne ya Majilio, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote. Disemba 22, 2019.
|
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
Waumini nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada
ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko
wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya
Krismas na Mwaka mpya Watanzania wote.
Disemba 22, 2019.PICHA NA IKULU
|
No comments:
Post a Comment