Mwonekano wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya ujenzi kukamilika. Ujenzi huu utagharimu shilingi bilioni 12, Halmashauri za Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela zikichangia Bilioni nne na fedha nyingine ikitolewa na Serikali Kuu. Rais Dkt.John Magufuli aliagiza kujekwa kwa jengo hili wakati akizindua miradi ya afya Julai 15, 2019 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Mbunifu Majengo kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Chagu Ng'oma akitoa ufafanuzi kuhusu hatua ulipofikia ujenzi wa jengo hilo.
This is good news for all Tanzanians
ReplyDeleteKwanini mwanza tu mbeya jiji letu hakuna lolote tunatoa kodi zetu
ReplyDelete