Matokeo chanyA+ online

Monday, January 20, 2020

TANZANIA YAONGOZA KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA ANUANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI KATIKA NCHI WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA

Yaya Sangare, Waziri wa Mawasiliano wa Mali (kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kulia)    hati ya kuitambua na kuipongeza Tanzania kwa kuongoza katika utekelezaji wa Mpango wa Anuani za Makazi na Postikodi kati ya nchi wanachama 45 wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya PAPU,yaliyofanyika Mkoani Arusha

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kulia)    akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kushoto)   na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro(wa tatu kulia)  katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya PAPU,yaliyofanyika Mkoani Arusha

Yaya Sangare, Waziri wa Mawasiliano wa Mali (kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,  Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dkt. Jim Yonazi (wa kwanza kulia)    hati ya kuitambua na kuipongeza Tanzania kwa kuongoza katika utekelezaji wa Mpango wa Anuani za Makazi na Postikodi kati ya nchi wanachama 45 wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya PAPU,yaliyofanyika Mkoani Arusha

No comments:

Post a Comment