Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo
Januari 16, 2020 amerejea nchini kutoka Msumbiji, ambako alimwakilisha
Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe
Nyusi. Kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ambaye
pia alikuwepo katika msafara huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) | |
No comments:
Post a Comment