Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara Kilimo, Maliasili, Mifugo na
Uvuvi katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa robo mbili ya
Julai-Disemba 2019/2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. (Picha na
Ikulu)
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalla
Saadala (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali katika Wizara hiyo
wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa robo mbiili ya
Julai-Disemba 2019/2020, kilichofanyika leo ambapo Mwenyekiti wake
alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar.
Waziri
wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Manga Mjengo Mjawiri(kushoto)
alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa robo mbili
ya kipindi cha Julai-Disemba 2019/2020 katika kikao cha Uongozi wa
Wizara hiyo kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, Mwenyekiti wake
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya
Mzee (kulia).
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kilikmo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalla
Saadala (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango
kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019/2020 katika mkutano wa Wizara
hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya
Mwenyekiti wake Raios wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu
anayeshuhulikia (Mifugo na Uvuvi) Dkt.Omar (kulia)
Wakurugenzi
wa Idara mbalimbali katika Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na
Uvuvi wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa
robo mbili ya Julai-Disemba 2019/2020 iliyosomwa katika kikao maalum
kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo Mwenyekiti
wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wakuu
wa Idara mbalimbali na Maafisa katika Wizara ya Kilimo, Maliasili,
Mifugo na Uvuvi wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa
robo mbili ya Julai-Disemba 2019/2020 kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa robo mbili ya
Julai-Disemba 2019/2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi
Mtendaji,Wakala wa Serikali wa huduma za Matrekta na Zana za Kilimo,
Affan Othman Maalim (katikati) akichangia katika kikao cha Utekelezaji
wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019/2020 katika mkutano
wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi uliofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) mwengine (kushoto) Mkurugenzi Idara ya Utumishina Uendeshaji
Nd,Noah Saleh Said.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe (kushoto) alipokuwa
akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa robo mbili
Julai-Disemba 2019/2020 katika mkutano wa Wizara ya
Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), (Picha na
Ikulu)
No comments:
Post a Comment