Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee baada ya
kushiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma,
Februari 14, 2020. Wa pili kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali
Hassan Mwinyi na kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab
Shaaban.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
No comments:
Post a Comment