Naibu
Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa
ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm)
lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa
uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya
Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Balozi
wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza
katika ufunguzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish
Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wadau
waliojitokeza katika ufunfuzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki
(Big Farm Fish) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa Big Fish Farm Bw. Abraham Mdeme ambaye ni mmiliki wa kampuni ya
ufugaji wa samaki na mbegu za samaki (Kamale, Sato) akizungumza wakati
wa ufunguzi rasmi wa Shamba hilo na eneo la uzalishaji na kufundishia
jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki.
Wadau
waliojitokeza katika ufunfuzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki
(Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul (pili toka
kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah
Ulega (anayefuatia kulia) katika ufunguzi wa shamba la Mafunzo na
uzalishaji wa samaki.
Naibu
waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega (aliyenyoosha mkono)
akiwa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul
katika ufunguzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki lililopo
Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega akipata picha ya pamoja
mara baada ya kumaliza ufunguzi wa Shamba la mafunzo na Ufugaji wa
Samaki lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wadau wakifurahia.
Kibao cha ufunguzi.
Mkurugenzi
wa Big Fish Farm Bw. Abraham Mdeme (kwanza kulia) ambaye ni mmiliki wa
kampuni ya ufugaji wa samaki na mbegu za samaki (Kamale, Sato) akitoa
maelezo kwa Naibu waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega
(katikati) akiwa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi
Jeroen Verheul (kwanza kushoto) mara baada ya ufunguzi wa shamba la
mafunzo na ufugaji samaki lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu
waziri wa Uvuvi na Mifugo Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akiwa na Balozi
wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul (kushoto)
wakitembelea shamba la mafunzo na ufugaji wa Kilimo cha Samaki (Big Fish
Farm) lililopo jijini Dar es Salsa.
Mabwawa ya kisasa yanayotumika kufugia.
Mitambo ya kisasa ya kukuzia samaki, Michuzi blog
No comments:
Post a Comment