Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
Pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Mawaziri wote, Manaibu
Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama mara baada ya
kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino - Dodoma. Machi 24, 2020.
|
No comments:
Post a Comment