Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo la daraja la Kiegeya lililosombwa na maji na kukata mawasiliano barabara ya Dodoma-Morogoro akiwa ameongozana na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Aloyce Mamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Loatha Sanare na viongozi wengine wa Wizara na mkoa huo Jumatatu Machi 16, 2020
|
No comments:
Post a Comment