MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA KIKAO CHA DHARURA CHA HALI YA MAZINGIRA KATIKA MIGODI YOTE NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri
wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe Mussa Azan
Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao hicho
kilifanyika kwenye ukumbi wa Hazini Mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe wa kikao cha dharura
kinachohusu masuala ya Migodi nchini
kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akiongoza Kikao cha dharura kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri
wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe Mussa Azan
Zungu kushoto Waziri wa Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao hicho
kilifanyika kwenye ukumbi wa Hazini Mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment