Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi ya ajira za Madaktari kuanzia tarehe 24 Machi, 2020 hadi tarehe 10 Aprill, 2020 kuwa zoezi la uchambuzi wa maombi yaliyopokelewa limekamilika.
Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi vigezo wamepangiwa kazi katika Vituo vya Afya na Hospitali mbalimbali za Halmashauri nchlni.
Madaktari wote waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) Selemani Jafo |
Aidha, waombaji wa nafasi za ajira ya Madaktari waliokidhi vigezo wamepangiwa kazi katika Vituo vya Afya na Hospitali mbalimbali za Halmashauri nchlni.
Madaktari wote waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa kalika Halmashauri mbalimbali nchini kuanzia tarehe 11 Mei, 2020 hadi 25 Mei, 2020. Waombaji watakaoshindwa kuripoti kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa kwa tarehe hizo bila ya taarifa. nafasi zao zitajazwa na waombaji wengine wenye sifa haraka iwezekanavyo.
Kuwasilisha kwa waajiri wao (Wakurugenzi wa Halmashauri walizopangiwa) vyeli halisi (Originals Certificates) kwa ajili ya kuhakikiwa na waajiri kabla ya kupewa barua za ajira. Vyeti hivyo ni kama ifuatavyo:
i) Cheli cha kuzaliwa;
ii) Cheti cha Kidato cha Nne na Sita/Diploma:
iii) Cheti cha kuhitimu Shahada ya Udaktari;
iv) Cheti cha Usajili wa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT): na
v) Uthibilisho wa kumaliza Mazoezi kwa Vitendo (Internship).
Kwa Madaktari waliosoma nje ya nchi wanatakiwa kuwasilisha vyeti vya ithibali (Accreditation Certificates) kutoka NACTE/TCU.

Orodha ya Madaktari waliopangiwa vituo vya kazi katika Halmashauri mbalimbali nchini inapatikana kupitia tovuti ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI: bofya hapo chini
https://www.tamisemi.go.tz/announcements
https://www.tamisemi.go.tz/announcements
No comments:
Post a Comment