Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar
Mhe. Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Antananarivo kwa ajili ya kupokea msaada
wa dawa ya kutibu na kukinga ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na
Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar. |
Ipimwe kwanza na kuthibitishwa kabla watanzania hawajaitumia.....
ReplyDeleteIkiwa imeshughulikiwa mpaka kufikia kiasi hiki, official ni dawa ya ugonjwa huu nafikiri ilishajaribiwa na waataalam wao,kwahiyo hawa ni ndugu zetu ni lazima tuwe na thika noa kuwa dawa hizi zitasaidia, tusingojee mpaka wenye macho ya blue watutangazie kuwa yes hapo ni sawa, unajuaje agenda zao wakati matatizo yao yamefanya dunia nzima ihangaike kiasi ambacho hakijatokea duniani kama hili janga tunaloishi sasa hivi. Asanteni
DeleteKwani limbwata lilipimwa na NANI?
DeleteBig up His Excellence President John Joseph Magufuli.
ReplyDeleteTumtangulize Mungu kwanza yote yanawezekana.
ReplyDeleteMungu wetu ni mwema. Had wanaopinga anataka tuteketee kwanza. Asaukuriwe Rais wetu kuthubutu. Mungu atajibu tu maombi yetu
ReplyDeleteGod bless Tanzania God bless Africa.
ReplyDeleteNiombe tu mamlaka ya Afya watoe kipaumbele kwanza kwa wagonjwa walio karantini ili pia kuweza kuoona uwezo wa dawa hiyo na sio kwa wasio wagonjwa.
Amina
ReplyDeleteViva JPM....God bless you and give you energy and strength for more terms in your service!
ReplyDeleteKWA MSAADA WA MUNGU ,ALIONESHA MWENYEWE MWEZI MEI MWISHO WA CORONA,KUMBE MUNGU ALIJUAHAYA YOTE YATATOTOKEA MWEZI HUU
ReplyDeleteHata ukibaki peke yako Mpendwa Rais wetu mafhali unasimamia Kanuni baki peke yako lkn rais wako tuko na wewe. Corona Ni baraka kwetu katika sekta ya madawa tunarudi nyumbani. Acha wabaki na chanjo zao. Africa na miti dawa na matunda na wao miti maua
ReplyDeleteWell done our Hon. Dr John Pombe Magufuli my Presedent
ReplyDeleteMungu arudishiwe sifa na utukufu na iwe Dawa , Kinga na msaada kwa wote wanaomtumainia Mungu aliye hai.
ReplyDeleteTukiamini , Tunweza kwa jina LA Yesu. Ili mradi haitskuwa na madhara, Tunywe tu. Waanze wagonjwa kwanza. Wapone haraka Mungu yukp pamoja nao/nasi. Warami wataidoma namba. Amina.
ReplyDeleteInatosha NlMungu anaweza yote.
ReplyDelete