Matokeo chanyA+ online




Monday, June 15, 2020

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI, JIJINI DODOMA



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchegerwa na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa  Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Seif Gulamali (Manonga) kushoto, Mohamed Mchengerwa (Rufiji) katikati, kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Seif Gulamali (Manonga) kushoto, Mohamed Mchengerwa (Rufiji) katikati, kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Seif Gulamali (Manonga) na Magreth Sitta (Urambo) wakiwa kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment