Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu akifafanua jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu akiongea wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) Dkt Samuel Gwamaka akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa kikao hiko.
Mdau wa Mazingira kutoka Mkoani Mbeya Bwana Ali Adon akionyesha nyaraka mbalimbali ambazo alihitaji kuzipatia ufafanuzi kuhusiana na biashara yake ya Kituo cha Mafuta kilichoko Mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment