Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Happines Seneda(kulia) akimkabidhi mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa Mrakibu wa Polisi Apallia Kibona, tuzo ya kuthamini kazi ya Jeshi dhidi ya kusuka matukio ya ukatili wa Kijinsia.
Baadhi ya washiriki katika maadhimisho hayo wakimkiliza kwa lakini Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Happiness Seneda haupo pichani, kuhusu masuala mbalimbali ya kusuka Ukatili wa Kijinsia.
(Picha zote na Datus Mahendeka, Jeshi la Polisi).
Na Datus Mahedendeka, Jeshi la Polisi
Jeshi
la Polisi Mkoa wa Iringa limepata tuzo kutoka kwa Ofisi ya Mkoa wa kwa
kazi linalofanya katika kupinga matukio dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
Akipokea
tuzo hiyo kwa naiba ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Mrakatibu wa
Polisi, Apalilia Kibona amesema tuzo hiyo italifanya Jeshi la Polisi
kuongeza juhudi katika kupambana na kuzuia matukio ya uhalifu.
Amesema wataendelea kushirikiana na wadau pamoja na kufanya misako, doria maeneo ya mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment