Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya
Veterinari (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi akimuonesha Naibu Waziri wa Mifugo na
Uvuvi, Pauline Gekul moja ya chanjo wanazozalisha alipotembelea Kituo cha
Wakala hiyo cha kutengeneza chanjo kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani
Januari 11, 2021.
Meneja Uzalishaji wa
Kiwanda cha TANCHOICE, Selo Luwongo (wa pili kutoka kushoto) akimuonesha Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (wa pili kulia) maroli yaliyopakiwa
minofu ya nyama ya mbuzi zaidi ya Tani 40 kwa ajili ya kuuzwa nje ya nchi
alipotembelea Kiwanda hicho Januari 11, 2021. Kulia ni Kaimu Msajili wa Bodi ya
Nyama, Imani Sichwale.
Meneja Uzalishaji wa
Kiwanda cha TANCHOICE, Selo Luwongo (kushoto) akimuonesha Naibu Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (wa tatu kutoka kushoto) mbuzi waliochinjwa na
kuhifadhiwa katika chumba chenye baridi kali kwa ajili ya kusafirishwa kuuzwa
nje ya nchi. Gekul alitembelea kiwanda hicho kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani
Pwani Januari 11, 2021.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya Veterinari (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi (kulia) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (katikati) alipotembelea Kituo cha Wakala hiyo kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Januari 11, 2021. Kushoto ni Kaimu Msajili, Bodi ya Nyama, Imani Sichwale.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala ya Maabara ya
Veterinari (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi (kulia) akimueleza jambo Naibu Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Pauline Gekul (katikati) alipotembelea Kituo cha Wakala hiyo
kilichopo Wilayani Kibaha, Mkoani Pwani Januari 11, 2021. Kushoto ni Kaimu
Msajili, Bodi ya Nyama, Imani Sichwale.
No comments:
Post a Comment