Naibu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza
kulia) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini
(TANROADS) jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea taasisi
hiyo.
Naibu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza
kulia) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini
(TANROADS) jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea taasisi
hiyo.
Baadhi
ya viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS),
wakiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako
(wa kwanza kulia) wakifuatilia maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi na
Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani) alipofanya ziara
kutembelea taasisi hiyo.
Mkurugenzi
wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (kushoto) akitoa taarifa
fupi ya utendaji wa taasisi hiyo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,
Mhandisi Godfrey Kasekenya (kulia) alipofanya ziara TANROADS.
Naibu
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza
kushoto) akizungumza na viongozi na watendaji wa Bodi ya Usajili wa
Wahandisi Tanzania jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea
taasisi hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu
Lema (aliye simama) akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na
Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya alipofanya ziara kutembelea taasisi
hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania(ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu
Lema akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,
Mhandisi Godfrey Kasekenya (kushoto) alipofanya ziara kutembelea taasisi
hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Usajili wa
Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi akifuatilia.
Msajili
wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi (wa
kwanza kulia) akitoa taarifa ya utendaji kwa ujumla wa taasisi hiyo kwa
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya
alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania(ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu
Lema (katikati) akimkabidhi kitambulisho kipya cha uanachama wa ERB
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (kushoto)
alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick
Barozi akifuatilia tukio hilo.
No comments:
Post a Comment