Matokeo chanyA+ online




Sunday, January 10, 2021

RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA HOTELI YA LEMERSENNE MICHAMVI VISIWANI ZANZIBAR

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz  Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi katika hafla iliyofanyika.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) na Bw Riaz  Mawani kwa pamoja wakifungua pazia kuifungua Hoteli ya Lemersenne Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mkewe Mama Marium Mwinyi. wakisalimiana na baadhi ya wageni Watalii waliofikia katika  Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano wakati alipotembelea sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza  kwa makini Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano Bw.Riaz Mawani (kushoto) alipotembela sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati)  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi. 09/01/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mmiliki wa Hoteli ya Lemersenne iliyopo Michamvi Wilaya ya Kusini Unguja yenye hadhi ya nyota tano Bw.Riaz Mawani (katikati) alipotembela sehemu kadhaa  mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo leo ikiwa ni katika shamra shama 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Kaimu Katibu wa Rais Dkt Abdalla Hasnuu. [Picha na Ikulu] 09/01/2021.

No comments:

Post a Comment