Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi, lililounganishwa
na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni
Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa
Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye basi,
lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors,
kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania
Bw. Jonas Nyagawa Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa
Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto),
wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani
Pwani, Aprili 27, 2021. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi
Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kiwanda cha Madawa
cha Kairuki, Ellen Magita, wakati alipotembelea kiwanda hicho
kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia basi,
lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors,
kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania
Bw. Jonas Nyagawa Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekaa kwenye basi,
lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors,
kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. Kutoka kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na Mkurugenzi Mkuu
wa Kampuni hiyo Bw. Jonas Nyagawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment