Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi akikata
utepe katika hafla ya makabidhiano ya magari ya mradi wa REGROW huku
akishuhudiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na Nyuki, Dkt. Ezekiel
Mwakalukwa na mwakilishi wa Tawiri, Dkt. Wilfred Mareale.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi
akimkabidhi funguo za gari mwakilishi wa TAWIRI, Dkt. Wilfred Mareale
kwenye hafla ya makabidhiano ya magari ya mradi wa REGROW jijini
Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi ( katikati)
akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa Taasisi baada ya
kukabidhiwa funguo za magari kwenye hafla ya makabidhiano ya magari ya
mradi wa REGROW jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi
akizungumza katika halfa ya kukabidhi magari 9 kwa taasisi za TAWIRI,
Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), Bodi ya Utalii (TTB) ,Tume ya Taifa ya
Umwagiliaji (NIRC) ,Bonde la Mto Rufiji (RBWB) ,na Timu ya Uratibu
kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo la kuimarisha utendaji
kazi wa taasisi hizo katika shughuli za mradi wa REGROW. Makabidhiano
hayo yalifanyika jijini Dodoma.
Mratibu wa Mradi , Aenea Saanya akizungumza kabla ya kumkaribisha
Katibu Mkuu kwenye hafla ya makabidhiano ya magari ya Mradi wa Regrow
iliyofanyika jijini Dodoma.
(Picha zote na Gladys Lukindo- Afisa Habari, Wizara ya Maliasili na Utalii)
No comments:
Post a Comment