Matokeo chanyA+ online




Friday, April 15, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC INSTITUTE, WASHINGTON MAREKANI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Nchini Marekani  tarehe 14 April 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell  Jijini Washington Nchini Marekani  tarehe 14 April 2022.
 




No comments:

Post a Comment