MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA TUKIO LA UWEKAJI WA SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA NNE KUTOKA TABORA- ISAKA KM 165 TAREHE 05 JULAI, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165 katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022.
No comments:
Post a Comment