Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa kampuni yenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii ambaye ni Grumeti Reserve wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo
mbalimbali zilizotolewa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania
kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wadau wa Sekta Binafsi
nchini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022
yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza salamu mbalimbali za wadau wa Sekta Binafsi nchini wakati alipohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment