Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Andrew Yona Kitua akizungmza wakati wa mkutano wa wadau wa Afya Moja. |
Mratibu wa Afya Moja Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.Baltazar Leba akichangia jambo wakati wa Mkutano huo.
|
Mshauri Elekezi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi.Peragia Muchuruza akichagia hoja wakati wa mkutano huo. |
Mtaalam Mshauri wa Afya Moja kutoka Taasisi ya RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Harrison Chinyuka akiongoza mkutano wa wadau wa Afya Moja |
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Mission for Illiteracy and Poverty Alleviation (TAMIPA) Bw. MARTIN Ashel akizungumza wakati wa mkutano huo. |
Mtaalam wa Epidemiolojia kutoka Shirikia la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt. Niwael Mtui akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
|
Mratibu wa Mradi kutoka RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative Bw. Michael Mosha akiwasilisha mada wakati wa mkutano wadau wa Afya.
|
No comments:
Post a Comment