FAIDA YA MSINGI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KANUNI YAKE YA 4R KATIKA KUONGOZA NCHI
Kukamilisha mazungumzo ya kuongeza ushiriki wa uwekezaji wa TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay mkoani Mtwara, ili kuongeza hisa na umiliki zaidi wa TPDC kwenye kitalu hicho kutoka 20% za sasa hadi 40%.
Kufungua fursa kwa sekta binafsi kupitia Kongamano la Biashara na Uwekezaji kwa lengo la kuvutia uwekezaji wenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Indonesia ni moja kati ya nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani (G20).
Kuvutia uwekezaji wa kuongeza thamani ya mazao yanayolimwa nchini ikiwemo karafuu na michikichi.
Kuanzisha ushirikiano baina ya Tanzania na Indonesia kwenye sekta ya uchumi wa buluu.
Kuanzisha mashirikiano ya utalii utakaowezesha kubadilishana uzoefu na kuvutia uwekezaji kwenye miundombinu ya utalii.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
No comments:
Post a Comment