Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi
Isaack Kamwelwe baada ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa
Daraja Jipya la Selander na Barabara unganishi ya Km 6.23 toka Hospitali
ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam.Desemba 20,
2018. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na viongozi
wengine wanashuhudia. |
No comments:
Post a Comment