Katibu
Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi
wa Mazingira Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na
Kusini mwa Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Mamlaka hiyo Joyce Msiru.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof.Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi
wa habari kuhusu kuipongeza Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira
Mjini Moshi kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa
Afrika leo Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo
Joyce Msiru.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi
Joyce Msiru (Kushoto) akizungumza mara baada ya kupokea pongezi za
Serikali kwa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi
kuwa Mamlaka bora ya maji Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika leo
jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo.
(Picha na: Shamimu Nyaki - WHUSM)
No comments:
Post a Comment