Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dunstan Kitandula akiongoza
kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara
ya Nishati, pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo, Felister Mgonja.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiwa katika kikao cha Kamati
hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo
wamepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Nishati, Subira Mgalu akiwa akizungumza katika
kikao cha Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika katika
Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati hiyo imepokea na kujadili
taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati
No comments:
Post a Comment