Waziri
wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola (katikati) akishirikiana na Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (wa pili kushoto),
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili
kulia), Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro pamoja na Mkuu wa Shule ya
Msingi Usa River, Mwalimu Abdul kukata utepe wakati wa ufunguzi rasmi
wa madarasa mawili katika shule ya msingi Usa River, yaliyojengwa kwa
ufadhili wa Benki ya CRDB, kwa gharama ya kiasi cha shilingi milioni
sitini (60 milioni) yaliyojumuishwa pamoja na madawati, wakati wa hafla
ya ufunguzi iliyofanyika mwishini mwa wiki, Wilayani Arumeru jijini
Arusha.
Sasa imefunguliwa rasmi na tayari kwa kutumiwa kwa mafunzo ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Usa River.
Waziri
wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola akishirikiana na
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (wa pili
kulia) kufungua kitambaa kwenye jiwe la msingi wakati wa hafla ya
ufunguzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Usa River,
yaliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, iliyofanyika mwishoni mwa
wiki, Wilayani Arumeru, jijini Arusha. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza machache
kabla ya kumkabidhi rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola
madarasa mawili ya mawili katika shule ya msingi Usa River, yaliyojengwa
kwa ufadhili wa Benki ya CRDB.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola akizungumza baada ya kupokea madarasa hayo pamoja na madawati yake.
Meza Kuu.
Waziri
wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola akizungumza wakati akitoa hotuba yake
katika hafla ya ufunguzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Usa
River, yaliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, iliyofanyika mwishoni
mwa wiki, Wilayani Arumeru, jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay akizungumza katika
hafla ya ufunguzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Usa
River, yaliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, iliyofanyika mwishoni
mwa wiki, Wilayani Arumeru, jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla
ya ufunguzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Usa
River, yaliyojengwa kwa ufadhili wa Benki ya CRDB, iliyofanyika mwishoni
mwa wiki, Wilayani Arumeru, jijini Arusha.
Mkuu
wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro akizungumza wakati akitoa shukrani kwa
uongozi wa Benki ya CRDB kwa kufanikisha ujenzi wa madarasa mawili ya
shule ya msingi Usa River, iliyopo katika wilaya yake.
No comments:
Post a Comment