Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.
Elius Mwakalinga wa kwanza kushoto akipewa maelezo na Mkurugenzi wa
Uzalishaji na Matengenezo Mhandisi Sylvester Simfukwe kuhusu vifaa vipya
vya karakana vilivyonunuliwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa
ajili ya kusambazwa kwenye karakana zake mikoani, wa pili kushoto ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle.
Mkurugenzi
wa Uzalishaji na Matengenezo kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)
Mhandisi Sylvester Simfukwe kulia akimpa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga
katikati kuhusu mashine mpya za karakana zilizonunuliwa na Wakala huo
kwa ajili ya kusambazwa kwenye karakana zake mikoani. Kushoto ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.
Elius Mwakalinga wa tatu kulia akipewa maelezo na Mkurugenzi wa
Uzalishaji na Matengenezo TEMESA Mhandisi Sylvester Simfukwe kushoto
kuhusu mashine mpya ya kukagua gari na kupima uwiano wa matairi ya
magari (3D Wheel Allignment) iliyonunuliwa na kufungwa katika karakana
ya Mt. Depot Keko jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Mtendaji Mkuu
wa Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle na Meneja wa karakana hiyo
Mhandisi Alex William.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.
Elius Mwakalinga wa nne kulia akizungumza jambo na Mkurugenzi wa
Uzalishaji na Matengenezo TEMESA Mhandisi Sylvester Simfukwe kushoto
kuhusu mashine ya kukagua gari na kupima uwiano wa matairi ya magari (3D
Wheel Allignment) iliyonunuliwa na kufungwa katika karakana ya Mt.
Depot Keko jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa
Wakala huo Mhandisi Japhet Y. Maselle na Meneja wa karakana hiyo
Mhandisi Alex William.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch.
Elius Mwakalinga wa pili kulia akifurahia jambo na mafundi wa karakana
ya Mt. Depot mara baada ya kumaliza kukagua karakana hiyo, wa kwanza
kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi
Japhet Y. Maselle.
PICHA ZOTE NA ALFRED MGWENO - (TEMESA)
No comments:
Post a Comment