Mkurugenzi
Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza katika Mkutano wa
11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel
mjini Unguja.
Muakilishi
wa W,H,O Zanzibar Dkt,Ghirmany Andermichael akizungumza katika Mkutano
wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel
mjini Unguja.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdalla akitoahotuba yake katika Mkutano
wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel
mjini Unguja
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya
ufunguzi katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar
katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na
Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua Mkutano wa 11 wa kutathmini
Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mkuu
wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud katikati akiwa na
Naibu Waziri Wizara ya Afya Harusi Saidi Suleiman(kushoto yake)na
Viongozi mbalimbali katika Picha ya pamoja katika hafla ya Mkutano wa 11
wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini
Unguja.
Mkurugenzi
Mkuu Wizara ya Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza na Waandishi wa
Habari baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya
Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Baadhi
ya Wadau wa Sekta ya Afya waliohudhuria katika Mkutano wa 11 wa
kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini
Unguja.
Mtaalamu
wa masuala ya Afya ya Uzazi kutoka shirika la UNFPA Zanzibar Batula
Abdi akitoa mchango wake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya
Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment