Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
baadhi ya wazee waliokuwa wakaazi wa nyumba za Magomeni Kota jijini Dar
es salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kuona maendeleo ya
ujenzi wa nyumba za ghorofa alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017
ambapo mpaka sasa ujenzi wake umesimama kwa sababu ambazo hazikuweza
kujulikana mara moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na wafanyakazi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) baada ya
kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga
jijini Dar es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi
16, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimwangalia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza Julius Ntembala
akipima nguzo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari
Magereza huko Ukonga jijini Dar es salaam alipofanya ziara ya kushtukiza
leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni Kota
jijini Dar es salaam alizoziwekea jiwe la msingi Aprili 15, 2017 wakati
alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za ghorofa za Magomeni
Kota jijini Dar es salaam alizoziwekea mnamo Aprili 15, 2017 ambapo
mpaka sasa ujenzi wake umesimama alipofanya ziara ya kushtukiza leo
Jumamosi Machi 16, 2019
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
maendeleo ya ujenzi wa nyumba za askari Magereza huko Ukonga jijini Dar
es salaam alikofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na wana familia ya moja ya nyumba za askari Magereza huko
Ukonga jijini Dar es salaam alikotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa
nyumba za askari hao alipofanya ziara ya kushtukiza leo Jumamosi Machi
16, 2019.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment