Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Rwanda Paul Kagame akifurahia zawadi ya Kinyago aliyopewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Rwanda Paul Kagame akifurahia zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro
mara baada ya kupewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment