Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya
kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Teminal 1
wakati akijiandaa kurejea nchini Rwanda mara baada ya kumaliza ziara
yake ya siku mbili jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Gadi ya heshma
iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati akimsindikiza kwenda
kupanda ndege katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara
baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
vikundi mbalimbali vya ushehereshaji kwa kuwapungia mkono mara baada
ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment