Spika
Mstaafu Mh. Mama Anne Makinda akizungumza na wanawake katika mkutano wa
majadiliano kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani
inayofanyika Machi 8 Kila mwaka, Mkutano huo umeandaliwa na Chama cha
Wanawake Wanasheria TAWLA na Shirika la OXFARM unafayika kwenye hoteli
ya Protea Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la OXFARM Bw. Odokorach Francis akizungumza katika
mkutano huo unaofanyika kwenye hoteli ya Protea Courtyard Upanga jijini
Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Chama cha Wanawake Wanasheria TAWLA Bi. Tike Mwambipile
akikmaribisha mgeni rasmi ili kuzungumza na wanachama na waalikwa wa
mkutano huo na kufungua mkutano huo.
Mary Matui Mwebdeshaji wa mkutakuhusu matukio mbalimbali yatakayofanyika kwenye mkutano huo.no huo akizungumza jambo
Kulia
ni Mkuu wa Mipango Chama cha Wanasheria Wanawake Mary Richard kulia na
Mkamiti Mgawe Ofisa Ubia wa Miradi Oxfarm wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waalikwa wakiwa katika mkutano huo
Katikati
ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne
Makinda akiwa katika mkutano huo kulia ni Mbunge wa jimbo la Hanang Dk.
Mary Nagu na kushoto ni Mkutugenzi Mtendaji wa TAWLA Bi Tike Mwambipile.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda
akiimba wimbo maalum wa kuwahamasisha wanawake pamoja na Mbunge wa jimbo
la Hanang Dk. Mary Nagu.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda
akisalimiana na mmoja wa wanachama wa TAWLA wakati alipowasili katika
mkutano huo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Chama cha Wanawasheria Wanawake Bi. Tike Mwambipile
akimuongoza Spika Mstaafu wa Bunge Mama Anne Makinda wakati akiingia
kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA akiwaongoza wanawake kuimba wimbo maalum wa kuwahamasisha wanawake katika mkutano huo.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda
akizungumza na Mbunge wa Hanang Dk. Mary Nagu kushoto ni Mama Kijo
Bisimba mwanaharakati.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda
akizungumzana baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Wanasheria
wanawake TAWLA wa kwanza kulia ni Mbunge wa viti maalum Chadema Bi.
Suzan Lyimo.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mstaafu Mama Anne Makinda
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya
kufungua rasmi.
No comments:
Post a Comment